- Elius' Letters
- Archive
- Page 2
Archive
028: How to Sell Without Selling: The Psychology of Effortless Persuasion
Fikiria kampuni kama Apple. Hawakushawishi watu kwa bei za chini au matangazo ya kulazimisha. Badala yake, walijenga hadithi ya brand, wakafanya bidhaa zao zijisikie exclusive, na wakaruhusu watu wahisi wanataka kuwa sehemu ya hiyo brand.

Njia Smart Zaidi Kuanzisha Biashara: Jenga Ukiwa Bado Kwenye Ajira
Mara nyingi mtu akiacha kila kitu na kujenga biashara yake bila kutegemea kitu kingine kama nilivyofanya mimi, unakuwa na Do or Die mindset... kwamba lazima hii biashara ikubali. Lakini Wale wanaobuild biashara wakiwa kazini wanapata advantage kubwa kuliko wale wanaorisk kila kitu:

Jinsi Budget Ndogo inaweza kuleta Matokeo Makubwa (If You Know What You're Doing)
Sio lazima uwe na $100 kwa siku kuanza kuona movement kwenye brand yako.Hata $4.55 kwa siku inaweza kukuletea traction — kama unajua unachofanya baadhi ya ads zetu zilizofanya vizuri, zilikuwa na budget ya 2$ tu kwa siku.

4 Seasons of your Buisiness (Jua cha Kufanya)
Na kama uko kwenye biashara, lazima utajua — not every season is for harvesting. Sio kila mwezi ni mwezi wa faida. Let me break it down for you — the four seasons of your business, and how to respect your current season instead of forcing harvest in winter.

Jinsi ya Kuanza Biashara Yako Online Bila Kubahatisha – Hata Kama Wewe ni Beginner Kabisa!
Sio tu theory—ni hatua za vitendo ambazo nimetumia mwenyewe na kuwasaidia wengine kama Caren Shuubi (kutoka 0 hadi 80k followers kwa miezi 9) na Emmanuel (55k followers kwa miezi 4) bila kutumia ads.

Jinsi ya Kudeal na Business Rejection Bila Kukata Tamaa
Leo, nimejifunza kitu kimoja—kukataliwa kwako na wateja au Clients au hata business Partners hakumaanishi biashara yako haina thamani. Inamaanisha tu kuwa huyo mtu hakuwa sahihi kwako. Kama wewe ni Mjasi na umekuwa unakataliwa mara kwa mara, hii ndio njia ya kuendelea bila kukata tamaa.
