- Elius' Letters
- Posts
- Jinsi ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara Mtandaoni: Duka & Huduma
Jinsi ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara Mtandaoni: Duka & Huduma
Huwezi kuanza kukimbia kabla hujajifunza kutembea.Na huwezi kufanikisha marketing ngumu kama ads, funnels, au automation kama hujui misingi ya online business:
Hatua 1: Tizama hii Video
Hatua 2: Jiunge na Darasa
Kila Safari Kubwa Huanzia Hatua Moja Ndogo — Hii Ndiyo Hatua Yako
Miaka michache iliyopita, dada mmoja aitwaye Cathy alijaribu kufungua biashara ya kuuza skincare kupitia Instagram. Alipata followers, aliweka picha nzuri, akaweka bei — lakini hakukuwa na mauzo.
Aliambiwa “tumia Sponsored ads,””Ongeza Budget” akafanya hivyo. Matokeo? Alitumia laki nne (400,000/-) ndani ya wiki moja bila kupata hata mteja mmoja wa maana.
Tatizo halikuwa bidhaa, wala picha. Tatizo lilikuwa msingi wake kwenye Biashara Mtandaoni.
Biashara Mtandaoni Bila Misingi Ni Kama Kujenga Nyumba Bila Msingi
Huwezi kuanza kukimbia kabla hujajifunza kutembea.
Na huwezi kufanikisha marketing ngumu kama ads, funnels, au automation kama hujui misingi ya online business:
✅ Jinsi ya kumtambua mteja wako
✅ Jinsi ya kujieleza (brand) kwenye mtandao
✅ Jinsi ya kuandika caption moja tu inayouza
✅ Jinsi ya kupata wateja wa kwanza bila kutumia hela yoyote
Hiyo ndiyo kazi ya kozi hii.
Hii siyo kozi ya kuchosha. Ni kozi ya vitendo, ya siku moja tu, kwa wale wanaotaka kuanza biashara ya bidhaa au huduma mtandaoni.
Jinsi ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara Mtandaoni: Duka & Huduma
🧠 Imebuniwa kwa wanaoanza
📲 Inatolewa kwa Kiswahili na Kiingereza
📍 Online – Jifunze popote ulipo
Kozi Hii Inakusaidia:
Kujifunza tofauti ya biashara ya bidhaa (duka) na huduma (consulting/service)
Kuelewa umuhimu wa niche, mteja sahihi, na mawasiliano yenye mvuto
Kujenga brand yako kuanzia siku ya kwanza
Kuandika caption zinazovutia badala ya kuomba watu wanunue
Kupata wateja wako wa kwanza bila kutumia matangazo ya kulipia
Baada ya kozi hii — ndiyo utaweza kuanza kujifunza Facebook Ads, Funnels, Email Marketing na mambo mengine makubwa.
Lakini ukiyaruka haya ya msingi, kila ad utakayoweka itakula hela yako bila kurudisha faida.
MAMBO YANAFANYIKAJE?
🎥 Video za Mafunzo (tazama kwa muda wako)
💬 Group Support ya kila siku (Uliza, jifunze, saidiana)
♾️ Lifetime Access
BONUS:
Tutakuonyesha mfumo wetu halisi wa kupata wateja organically — bila kulipia hata shilingi moja!
UWEKEZAJI WAKO:
💰 Bei ya Offer: Tsh 47,500/-
Bei Kamili: Tsh 120,000/-
Tuma Neno “START” Kupitia Whatsapp Ili Kupata Maelezo ya Malipo
Hii Ndiyo Kozi Unayopaswa Kuanza Nayo Kabla ya Kujaribu Ads Zote Unazoziona Instagram
Hii siyo tu kozi — ni ramani ya mwanzo ya safari yako ya biashara mtandaoni.
Na kwa bei ya chai tatu za mjini, unapata maarifa yatakayokuweka tayari kwa hatua kubwa zaidi.
👉 Jiunge Leo — Safari Inaanza Hapa.
Reply