- Elius' Marketing Newsletter
- Posts
- Kwanini Hakuna Anaenunua Offer Yako? Watu Wanakupuuza Kwa Sababu Hii Moja
Kwanini Hakuna Anaenunua Offer Yako? Watu Wanakupuuza Kwa Sababu Hii Moja
Wafanyabiashara wengi wanakosea – Coaches, Consultants, na Social Media Service Providers wana offer ambazo ni too broad, too vague, au too complicated.
Hey Social Media Business Owners, Coaches and Consultants,
Nakumbuka kuna siku mshikaji wangu mmoja, tumuite Brian, alikuja kwangu na frustration.
Alikuwa amemaliza ku-launch coaching business yake kufundisha mambo ya .
Alikuwa na website safi, logo kali, na alikuwa anapost Instagram kila siku.
Lakini tatizo lilikuwa moja…
Hakuna mtu aliyekuwa ananunua.
Hakuna DM inayoingia kuuliza, "How do I sign up?"
Hakuna inquiries.
Hakuna sales.
Brian akaniambia, “McBenvics, I don’t get it. Natoa value kama unavyofundishaga, content zangu ziko vizuri kabisa, lakini watu wanapita tu kama sipo.”
Hehehe Sauti yake ilikuwa na uchungu.
Nilimwuliza swali moja tu…
"Ukipewa sekunde 10 kuelezea offer yako, utasemaje?"
Kimya.
Akamumunya mumunya kitu kuhusu kusaidia watu wakue na kufanikiwa…
"Kukua vipi? Kufanikisha nini? Unamsaidia nani exactly? Wakija kwako wanapata nini?" nikauliza tena.
Na hapo ndipo aligundua kosa lake kubwa…
Tatizo halikuwa watu hawamwamini.
Tatizo halikuwa hatoi value.
Tatizo lilikuwa watu hawaelewi anachouza.
Ukiweza Kuelezea Offer Yako kwa Sekunde 10, Unaweza Kuiuza.
Watu hawana muda wa kufikiria mara mbili.
Kama offer yako haiko clear hapo hapo, they’ll keep scrolling. Humsikilizagi Hormozi?
Na hapa ndipo wengi wanakosea – Coaches, Consultants, na Social Media Service Providers wana offer ambazo ni too broad, too vague, au too complicated.
That’s why nimeandaa Irresistible Offer Workshop.
Ndani ya hii darasa, nitakufundisha:
✅ Makosa 3 makubwa yanayofanya watu wakatae offer yako
✅ Results-Driven Offer Formula – inakufanya uanze kuuza instantly
✅ Jinsi ya kupanga bei ya huduma yako ili watu waone VALUE, sio gharama
Na ili ku-accommodate kila mtu, kuna 3 pricing tiers:
79,500 TZS – Basic Package
149,000 TZS – VIP Package (Extra Q&A Session)
295,000 TZS – 1-on-1 Offer Review with Me
📍 Whatsapp – Limited Spots Available!
Kama umechoka kupost na watu wanakupuuza, this is for you.
Reply "OFFER" kwenye DM yangu ya Instagram for more details!
See you inside,
Elius
Reply