- Elius' Letters
- Posts
- Ukifanya kazi siku nzima, Huwezi kupata Muda wa Kutengeneza Pesa
Ukifanya kazi siku nzima, Huwezi kupata Muda wa Kutengeneza Pesa
Kwa kutumia AI, unaweza kupata wateja bila kutumia hata pesa nyingi kwenye Ads, bila kupoteza muda na wateja wasiokuwa Serious, na bila kuongea na kila mtu mmoja mmoja.
Habari Mjasi
Leo nimeandika Caption ya Post yangu ya leo Instagram, lakini nadhani kuna kitu unaweza kujifunza
Watu wengi saiv wanadhan kuwa wakiongea kuhusu huduma/bidhaa zao kila saa na kukaa mtandaoni mchana na usiku, basi wateja watakuja—lakini hiyo sio kweli kabisa.
Last few Months nilikuwa nafanya kazi kila wakati, hadi nikasahau kula vizuri, kufanya mazoezi, na hata kuongea na familia yangu—nilikuwa nimechoka sana.
(Dada angu ndo ndo alikuwa anambia “Mama ako anakutafuta simu yako umeiweka wapi?”) hahaha
Sasa recently nikaanza kutumia AI kunisaidia kutengeneza content za biashara, na mambo yakaanza kubadilika fasta.
Saiv, natumia siku moja kupanga content ya wiki nzima na sometimes 2 weeks, na muda mwingi nabaki kusoma vitabu, kuuza, na kucheka na familia yangu.
Tajiri mmoja Maarufu wa Miaka 1890s Ambaye anajulikana sana Kwenye Biashara za Mafuta ya Petroli ndhini Marekani aliwahi kusema “Ukifanya kazi siku nzima, Huwezi kupata Muda wa Kutengeneza Pesa”

Huyu jamaa Alikuwa Tajiri Sana mzee, alikufa 1925 na ni Moja kiati ya watu walioathiri sana Maisha Yako, bila wewe kujua, ndo alisababisha Mahospitali yawe yanatibu dalili za Magonjwa Baadala ya Visababishi vya magonjwa (Kwasababu Wagonjwa wasipopona Wananunua Vidonge na Madawa - Ambayo yanatokana na Petroleum Products… ili biashara yake ya Mafuta ikue)…. hii ni story ni ya Siku nyingine Mjasi.
Watu wengi wanaogopa AI kwa sababu wanafikiri itaharibu biashara zao, wengine wanatumia tu kama vipofu—lakini hawajui kuwa inaweza kuwasaidia zaidi kuokoa Muda kama ukielewa kuitumia Vizuri!
Kwa kutumia AI, unaweza kupata wateja bila kutumia hata pesa nyingi kwenye Ads, bila kupoteza muda na wateja wasiokuwa Serious, na bila kuongea na kila mtu mmoja mmoja.
Na sasa nafundisha wamiliki wa biashara jinsi ya kuimplement AI kwao—ili waishi maisha bora, sio kazi tu kila saa kama Mchawi hahaha.
Nimeeleza Zaidi kuhusu Jinsi ya Kutumia AI Hizi Mbinu 5 za Kujitangaza Instagram kwa Kutumia AI ndani ya Episode Mpya ya hizi Video ambazo Ntakuwa nakutumia Unaweza Kuiangalia Hapa.
PS: Kama Kupata wateja Instagram Kunakukosesha Usingizi nitakusaidia Kutengeneza Mfumo wa Kupata wateja Consistently kwa Kutumia AI na Strategy kwa Experience yangu utaanza kuona matokeo ndani ya Siku 30-90 na kujenga Brand inayoaminika Mtandaoni
Nitumie message Whatsapp Hapa +255760962379 tupange Consultation Session tuzungumze na Kuandaa strategy yako.
Bye Bye.
Reply