- Elius' Letters
- Posts
- Jifunze Jinsi ya Kupata Wateja kwa 300% Kwa Kutumia AI - Bila Kuongeza Bajeti ya Matangazo
Jifunze Jinsi ya Kupata Wateja kwa 300% Kwa Kutumia AI - Bila Kuongeza Bajeti ya Matangazo
Huna haja ya kulipia matangazo makubwa — unahitaji tu mfumo unaokufundisha jinsi ya kuvutia na kushawishi wateja kwa kutumia AI.
Mafunzo ya Kipekee kwa TZS 199,000 kwa Wajasiriamali, Coaches, na Wafanyabiashara Wadogo Wanaotaka Kuuza Kwenye Mtandao kwa Hekima na AI
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.
Huna haja ya kulipia matangazo kwa bajeti kubwa — unahitaji tu mfumo unaokufundisha jinsi ya kuvutia na kushawishi wateja kwa kutumia AI.
Habari, Mjasiriamali!
Umejaribu kupost kila siku, kulipia matangazo, na kufanya kila kitu unachoweza kufanya kupata wateja… lakini bado hauoni matokeo ya maana?
Tatizo si wewe wala bidhaa au huduma yako. Na huenda umeshashasikia wakisema hivi, lakini huenda Tatizo ni mfumo unaotumia.
Leo nataka kukuonyesha njia mpya — mfumo unaotumia nguvu ya AI na maudhui yenye ushawishi mkubwa ili kugeuza mashabiki kuwa wateja, bila kuongeza bajeti ya matangazo yako.
Naitwa Elius Kamuhangire McBenvics, ni Certified Generative AI Digital Merketing na Ecommerce expert, na kwa miaka miwili nimefanya kazi na Personal Brands zaidi ya 450+ Tanzania kukuza na Kuongeza Mauzo ya Biashara zao Mtandaoni kwa Kutumia Content pamoja na AI.
Mwaka 2013 nilianzisha biashara online na kujaribu sana kutafuta wateja. Biashara yangu ilifeli na nikapoteza zaidi ya 3M TZS kwenye matangazo ya kulipia bila kupata Returm.
Nilikuwa na stress. Sikuwa hata na pesa ya kulipia taxi kwenda kuonana na Mteja wangu.
Hii hasara ilinipelekea kujifunza zaidi kuhusu kutangaza Biashara mtandaoni, na baada ya kujifunza na kuona makosa mengi niliyokuwa nayafanya mpaka yakanisababishia Hasara, niliamua kuspecialize kwenye hii industry.
Mwaka 2024, ulikuwa mwaka wangu wa kwanza ambao ndani ya siku moja nilikuwa na uwezo wa kutengeneza TZS laki tisa kupitia Instagram.
Kwa sasa ni Digital Marketing Strategist wa brands kama Lishe na Loy Africa (145K Followers), Pregnancy Nutrition Tz (89K Followers IG), Mr Code Tz (60K Followers IG) na wengine wengi.
Katika kupokea maswali kupitia Instagram DM kutoka kwa Follower wangu wengi, nimeona Changamoto kubwa kwa wafanyabiashara wengi wetu, ni ile ile niliokumbana nayo wakati naanza: Budget Kubwa ya Matangazo Bila kupata wateja wa Kutosha, hivyo, nitashare na wewe siri zote zinazonisaidia kukuza biashara na kuwasaidia wengine kwa kutumia hii technology AI, pamoja na Mitandao ya Kijamii.
Na, mpaka sasa wanafunzo wangu zaidi ya 120 wamepitia hili darasa na matokeo waliyopata ni makubwa (Utaona hapo Chini nimekuwekea Feedback zao).
Wafanyabiashara wengi wasiojua hizi siri za kutengeneza matangazo, wanapoteza pesa nyingi sana na hata kupata wateja wa kudumu bado ni Changamoto.
Course ya “Jinsi ya Kutumia Mfumo wa AI Kuvutia Wateja Bila Matangazo yenye Budget Kubwa bila Experience yoyote”
Kwa TZS 199,000 tu, utajifunza mfumo rahisi na wenye nguvu unaokufundisha:
Jinsi ya kutengeneza maudhui yanayovutia na kugeuza wafuasi kuwa wateja
Jinsi ya kuendesha safari ya mteja kwa urahisi bila kuwa na website au funnel ngumu
Njia rahisi ya kuandaa matangazo yanayogusa hisia za wateja
Ratiba ya maudhui ya siku 30 ambayo itakuwezesha kuendelea kupata wateja kila siku
Mbinu za kuwasiliana na wateja kwa njia ya moja kwa moja na yenye ushawishi mkubwa
Hii ni kwa nani?
Wajasiriamali, coaches, na wafanyabiashara wadogo
Wanaotaka kupata wateja mtandaoni bila kutumia bajeti kubwa ya matangazo
Wanaopenda kujifunza mfumo wa kisasa, rahisi, na unaotegemea AI
Wanaotaka kuuza kwa urahisi, si kwa ugumu
Utapata Nini kwenye Hii Course?
Mafunzo ya kina kwa video (Private)
Mfumo kamili wa kuendesha biashara mtandaoni unaotumia nguvu ya AI
Ratiba ya Content ya siku 30 iliyotayarishwa tayari
Mbinu rahisi za kuwasiliana na wateja mtandaoni
Vifaa na templates rahisi kutumia kusaidia kuunda maudhui na matangazo
Bonus za kipekee za kuandika ofa inayovutia wateja na kuboresha mazungumzo yanayoleta mauzo
Ushuhuda wa Wateja


“Nilikuwa napoteza hela kwenye matangazo yasiyolipa. Baada ya mafunzo haya, nilipata mfumo rahisi wa kupata wateja kwa kutumia AI — na sasa wateja wanakuja kwa haraka!”
“Nilijifunza jinsi ya kuandika content zinazovutia na kutumia mfumo wa AI kuendesha biashara yangu bila kutumia pesa nyingi kwenye ads.”
Kwa Nini Uanze Leo?
Wajasiriamali wa kesho ni wale wanaojua kutumia teknolojia na AI kufanikisha biashara zao.
Usiruhusu biashara yako isikue kwa sababu ya bajeti ndogo ya matangazo.
Jifunze mfumo unaolifanya AI ifanye kazi kwa niaba yako.
BONASI kwa Wanaojiunga Sasa
Mini-class ya kuandika ofa inayovutia
Template za kuwasiliana na wateja mtandaoni
Access kwenye newsletter ya kipekee ya mafunzo na mbinu mpya
👇 Jiunge Sasa kwa TZS 199,000 Pekee!
Hakuna malipo ya kila mwezi, hakuna kuacha kufikia mafunzo.
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.
Usikose nafasi hii ya kupata mfumo rahisi, wa kisasa, na unaofanya kazi — hata kama hujawahi kutumia AI kabla.

Huyu ni moja wa wanafunzi wangu ni Mtaalamu wa Fitness na Lishe, ndani ya Program amejifunza na tayari ameshapata Wateja wa kudumu wawili ndani ya Week ya kwanza
Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.
Zillim Client Feedback!!


Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.



Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.



Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.



Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.


Uko Tayari Kuacha Kuomba Wateja na Kuanzisha Mfumo Unaoleta Wateja Wenyewe?
Bonyeza hapa tuma message whatsapp na kupata mfumo wako wa kwanza leo.
Reply