• Elius' Letters
  • Posts
  • Je, Unataka Kujua Siri ya AI Systems Zinazofanya Biashara Ijiendeshe Wenyewe? (Webinar)

Je, Unataka Kujua Siri ya AI Systems Zinazofanya Biashara Ijiendeshe Wenyewe? (Webinar)

Kama umewahi kujikuta umechoka kuendesha kila kitu mwenyewe kwenye biashara — kutoka kwa content, customer follow-up hadi sales — basi hii ni webinar ambayo hutaki kuikosa.

Je, Unataka Kujua Siri ya AI Systems Zinazofanya Biashara Ijiendeshe Wenyewe? (Webinar)

Kama umewahi kujikuta umechoka kuendesha kila kitu mwenyewe kwenye biashara — kutoka kwa content, customer follow-up hadi sales — basi hii ni webinar ambayo hutaki kuikosa.

Nilirekodi video moja powerful inayoeleza jinsi AI Systems zinavyoweza kubadilisha biashara yako ndogo kuwa brand inayojiuza yenyewe.

Katika video hii, utajifunza:

  • Jinsi ya kutumia AI bila kulipia tools yoyote ili kuboresha content, customer service, na sales.

  • Mfumo wa hatua 5 wa kupanga na kuanzisha automated business system kwa kutumia ChatGPT, Notion, na Google Sheets.

  • Nini hasa kinazuia biashara yako kukua – na jinsi ya kuondoa hiyo block kwa kutumia mfumo sahihi.

🎥 Tazama Webinar Hapa:

👉 Bonyeza Kutazama Video Kamili ya Webi

Ungana Nami WhatsApp kwa Majadiliano ya Moja kwa Moja (Bila Malipo)

Nimefungua Group ya WhatsApp kwa wale wanaotaka kuendelea kujifunza, kuuliza maswali, na kupata guidance moja kwa moja kutoka kwangu kuhusu AI Systems.

Lakini kumbuka:
✅ Ili uingie group, lazima ujaze fomu ya maombi kwanza kuhakikisha kama wewe ni Mfanyabisahara, Utapata Darasa la Strategy kule Darasani litakalokusaidia kutengeneza Mbinu ya Content zinazoleta Mauzo Online tunazotumia kwa wateja wetu
Tunaweka hii ili kuhakikisha kila mtu aliyepo ana nia ya kweli kujifunza na kuchukua hatua.

📥 Jaza Fomu ya Maombi Kisha Jiunge Hapa: Mwisho wa Form Utapata Link ya Whatsapp
👉 Jaza Fomu + Jiunge na WhatsApp Group

Hii ndio nafasi yako ya kupata maarifa ambayo yatakuokolea miaka ya kuhangaika. Itumie!

Tukutane kwenye video na kwenye group!


Elius Kamuhangire (McBenvics)
Instagram: @mcbenvics | Zillim Digital

Reply

or to participate.